Text messages za leo;
MDADA 1: Baby naomba credit ya elfu tano nataka kumpigia simu baba Arusha.
MDADA 2:Baby nakuja geto niandalie chips na kuku mzima nakuja na friends wangu, alafu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu, mwenyewe ntakuja nae achukue.
MDADA 3:Baby please naomba elfu 45 ya saluni kusudi nikija na wenzangu nisikutie aibu, I love you mwaahhhhhhhh. MDADA 4: Baby nikija nitayarishie na hela kidogo tukitoka hapo tunaenda na wenzangu shopping mi sina hata hela ya kununua kitu. Baby hata alfu 60 zitasaidia kidogo. Love you my sweet
Categories: Daily Kiswahili Joke