TANCUT ALMASI ORCHESTRA JUKWAANI MOROGORO


Waliomo pichani kutoka kushoto mbele, Mohamed Shaweji akiwa anacheza nyuma ya Nana Njige Na Mohamed Sululu akicheza nyuma ya Nuru Amiri. Mstari wa nyuma kutoka kushoto Ray Mlangwa, John Kitime, Kalala Mbwebwe, Hashim Kassanga, Kawelee Mutimwana na mwisho sura yake haitambuliki vizuri.

Leave a comment