Padre Giovanni Giorda (IMC) maarufu kwa jina la Padri Yolda amezikwa leo katika makaburi ya Tosamaganga. Padri Yolda alifia katika Kituo cha Afya cha Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, Wenda siku chache zilizopita, alikuwa na umri wa miaka 93. Pumziko la Milele umpe EE Bwana na Mwanga wa Milele umuangazie Amina


Kulia wazee wa Kihehe wakipiga risasi juu nje ya kanisa la Tosamaganga kuashiria mtu aliyeheshimika amefariki
Categories: Iringa