NIKISHINDA BAHATI NASIBU ITAKUWAJE?


Jamaa karudi home na furaha kubwa;
MUME: Aise nambie mke wangu, kama nikishinda bahati nasibu utafanyaje?
MKE: Ntataka unigawie nusu halafu, ntadai talaka nisepe
MUME: Basi una bahati leo, nimeshinda bahati nasibu shilingi alfu kumi, nusu yako hii na talaka yako hii sepa salama.

Categories: Daily Kiswahili Joke

Leave a comment