LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 33
Shule ya St Mary’s Primary School ilikuwa shule maarufu hasa kwa watoto wa Kihesa na kuelekea upande wa Nduli. Na shule hii pia ndio ilikuwa chanzo cha shule ya sekondari […]
Shule ya St Mary’s Primary School ilikuwa shule maarufu hasa kwa watoto wa Kihesa na kuelekea upande wa Nduli. Na shule hii pia ndio ilikuwa chanzo cha shule ya sekondari […]
Kufikia mwaka 1970, Aga Khan Secondary School ilikuwa rasmi sasa inaitwa Lugalo Secondary School, kilikuwa kipindi cha mwamko mpya wa uzalendo na siasa ya Ujamaa ilikuwa ndio inaanza. Shuleni kulikuwa […]
Mwaka 1970 lilianzishwa gazeti la shule lililochapishwa palepale shule kwa kutumia mashine iliyoitwa Cyclostyle Machine. Kabla ya kuanza kuchapisha ililazimika utengeneze stensil ya kazi unayotaka kuchapisha, kisha kazi hii unaiweka […]
Maisha ya sekondari yalikuwa na mambo mengi. Masomo, michezo, sanaa na kadhalika. Wanafunzi nao walikuwa wa aina mbalimbali, wacheshi, serious guys na wanafunzi wasio na mwelekeo mimi nikiwa mfano mzuri. […]
Kutokana na kumbukumbu hizi kuna wachangiaji wawili wamejitokeza wa kwanza ni Engineer na Mwanasheria EDMUND MYAVA…Bwana Myava tulikuwa darasa moja pale Lugalo Secondary School. Tulizoea kumuita Umfundisi, kutokana na jina […]
Tulifanya mtihani wa darasa la saba tukaanza likizo ya kusubiri majibu. Siku moja wakati niko porini mlimani nyuma ya shule ya Lugalo kwenye mizunguko ya klutafuta matunda ya porini nikasikia […]
Katika makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 20 niliandika kuhusu jirani yangu ambaye tulikuwa nae miaka hiyo 1966 na 1967, ambaye […]
Moja ya burudani muhimu katika maisha yetu wanafunzi wa Aga Khan Primary miaka ya 66 na 67 ilikuwa ni kwenda sinema. Kulikuwa na kumbi mbili za sinema, Highland cinema na […]
Ungepita nyumbani kwetu kuanzia saa kumi mpaka saa kumi na mbili jioni mwaka 1967 mpaka 1969 ungekuta watoto Zaidi ya 20 wakicheza michezo mbalimbali kwenye uwanja wa nyumba yetu. Ungekuta […]
Nilizaliwa siku ya Jumamosi muda wa saa moja hivi, baba yangu alikuwa mwalimu Middle School Njombe, wakati huo alikuwa ba pikipiki moja kubwa aina ya BSA, huo ndio ulikuwa usafiri […]