KICHEKESHO CHA LEO 1
Mke alikwenda kulalamika kwa mumewe kuwa kuna jamaa mgeni jirani kamtukana kuwa ana mdomo kama tairi la trekta. Mume akapandisha na kuapa kutoa adhabu kali sana atakapokutana na huyo mshenzi. […]
Mke alikwenda kulalamika kwa mumewe kuwa kuna jamaa mgeni jirani kamtukana kuwa ana mdomo kama tairi la trekta. Mume akapandisha na kuapa kutoa adhabu kali sana atakapokutana na huyo mshenzi. […]
Naomba nikiri simlaumu mtu, walinikanya wakanambia niachane na hawa watani zangu ‘wakunyumba’, nikabisha. Nikapata mrembo mzuri sana nikawataarifu ndugu kuwa nataka kumuoa, wakanikanya sikusikia sasa leo nimerudi na rafiki zangu […]
Jamaa karudi home na furaha kubwa;MUME: Aise nambie mke wangu, kama nikishinda bahati nasibu utafanyaje?MKE: Ntataka unigawie nusu halafu, ntadai talaka nisepeMUME: Basi una bahati leo, nimeshinda bahati nasibu shilingi […]
Jamaa karudi ghafla nyumbani si akasikia sauti za ajabu toka chumbani kwake, akapiga ukelele na kuvunja mlango akamkuta mkewe akitetemeka;Jamaa: We vipi?Mke: Presha imepanda mume wangu, jamaa akakimbia sebuleni ili […]
Pamoja na sheria 17 za soka za FIFA kuwepo, enzi za utoto kulikuweko na sheria za soka ambazo ndizo zilizokuwa zinatambuliwa1. Mwenye mpira ndie anaeamua nani atacheza.2. Mtoto bonge ndie golikipa3. Wachezaji wazuri ndio […]
Watu wengi huwa hawajui kuwa wana midomo inanuka ile mbaya, aidha kwa kuwa huwa hawapigi mswaki, au walisahau siku hiyo kupiga mswaki au pengine wana jino bovu…tatizo ni kuwa muhusika […]
JAMAA mmoja alikuwa na tatizo la kukojoa kitandani. Ikafikia anataka kuoa lakini aibu ikawa inamzuia hata kutafuta mchumba, akaamua kwenda kwa mganga kupata matibabu. MGANGA:Tatizo limeanza lini? JAMAA: Kiukweli toka nilipokuwa mdogo. […]
Text messages za leo; MDADA 1: Baby naomba credit ya elfu tano nataka kumpigia simu baba Arusha. MDADA 2:Baby nakuja geto niandalie chips na kuku mzima nakuja na friends wangu, […]
Je, umerogwa? Kuna watu wengi wanatembea bila kujijua kama wamerogwa. Blog yako hii sasa imeamua kusaidia wananchi kama hawa ili wajijue kama maisha yao yameingiliwa na mkono wa mtu. Kutokana na […]
Jamaa yetu alikuwa mahakamani kashtakiwa kwa kosa la mauaji. Akaruhusiwa kuanza kujitetea;MANGI SAKARIA: Mheshimwa mi ninatatiso kubwa, kila nikiota ndoto inakuwa kwee.. inakuwa kweli. Niliota mke wangu kasaa mapacha kweli […]