Daily Kiswahili Joke

Juma lete nyumaa

Juma kaenda kuomba kazi ya uboi kwa muhindi, mambo hayakuwa mabaya kwa wiki mbili za kwanza. Siku hiyo ndugu zake bosi wakamtembelea bosi, Juma akaambiwa apange meza ya chakula, akaweka vizuri sahani, visu, vijiko lakini akasahau kuweka  uma. Wageni wote wakawa wamekaa kwenye viti vyao , Juma akiwa nje anapumzika, […]

Maisha we acha tu

Hadithi hadithi…..Katika maisha kuna mambo mtu unaweza uafanya yakakufedhehesha ukawa kila ukikumbuka maisha yako yote unasononeka au unaishia kucheka ukikumbuka akili zako za kitoto. Kuna jambo liliwahi kunikuta wakati niko […]