LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 41
Kwa wale walionaza kufatilia mikasa yangu tangu mwanzo watakumbuka kuwa nilianza kumpenda ‘mchumba’ wa kwanza wakati nikiwa aidha nursery au darasa la kwanza. Mchumba wangu huyu alikuwa mwanafunzi pale Iringa […]