LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 31
Maisha ya sekondari yalikuwa na mambo mengi. Masomo, michezo, sanaa na kadhalika. Wanafunzi nao walikuwa wa aina mbalimbali, wacheshi, serious guys na wanafunzi wasio na mwelekeo mimi nikiwa mfano mzuri. […]