LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 22
Moja ya jambo lililokuwa likinipa shida sana ilikuwa kuamka asubuhi na kwenda kumnunulia sigara baba yangu. Baba alikuwa mvuta sigara karibu maisha yote niliyomfahamu. Kwenye miaka ya 60 na 61 […]