HISTORIA FUPI YA TANCUT ALMASI ORCHESTRA
BAADA ya bendi kongwe ya Highland Stars kusambaratika mwishoni mwa miaka ya 60, Iringa haikuwa tena na bendi yoyote ya maana, mpaka ilipokuja kuzaliwa bendi ya shule ya Mkwawa, bendi […]
BAADA ya bendi kongwe ya Highland Stars kusambaratika mwishoni mwa miaka ya 60, Iringa haikuwa tena na bendi yoyote ya maana, mpaka ilipokuja kuzaliwa bendi ya shule ya Mkwawa, bendi […]
Vumbi Dekula Kahanga Orch. Maquis Original 1987 Wapiwapi Chang’ombe Bar,kutoka kulia ni: Mbuya Makonga “Adios”,Dekula Kahanga”Vumbi”,Mpoyo Kalenga na William Maselenge. Alie chuchumaa ni Juma Choka Kwa wapenzi wa muziki wa […]
KATI YA MWAKA 1966 NA 1973, Ungetembelea miji mingi mikubwa siku za Jumapili, ungekuta vijana waki enjoy kitu kilichokuwa kikiitwa Buggy. Buggy lilikuwa dansi la vijana lililokuwa likianza muda wasaa […]
Imani ya uchawi ni utamaduni ambao umekuweko katika jamii zote za binaadamu kwa maelfu ya miaka. Historia na maandiko ya dini mbalimbali yanatukumbusha hilo na kulilaani. Huwa inategemewa kuwa kadri […]
Hawa ndio Sunburst bendi iliyofanya vizuri sana mwanzoni mwa miaka ya 70,mwaka 1973 ikashinda mashindano ya Bendi Bora Dar es Salaam na kuwa ya kwanza. Toka kushoto Toby John Ejuama […]
Siku moja niliuliza swali hili……Katika miaka ya 60 hadi katikati ya 70 kulikuwa na bendi nyingi za vijana ambazo unaweza kulinganisha na wanamuziki wa sasa wanaojulikana kama kizazi kipya. Katika […]
Bendi ya Urafiki (Urafiki Jazz Band), ilianzishwa mwaka 1970 na kiwanda cha nguo cha Urafiki kilichopo Ubungo. Jina rasmi la kiwanda lilikuwa ni FRIENDSHIP TEXTILE MILL. Kiwanda kilijengwa kwa msaada […]