NIMEAMKA TENA
BAADA YA KIMYA KIREFU NIMEAMKA TENA
BAADA YA KIMYA KIREFU NIMEAMKA TENA
Muziki wa soul ulianza kuingia Iringa mwaka 1968 hivi. Nilianza kusikia santuri za muziki wa soul nyumbani kwa rafiki yangu John Silva. Baba yake John Silva ndie aliyekuwa Fundi Mkuu […]
Mke alikwenda kulalamika kwa mumewe kuwa kuna jamaa mgeni jirani kamtukana kuwa ana mdomo kama tairi la trekta. Mume akapandisha na kuapa kutoa adhabu kali sana atakapokutana na huyo mshenzi. […]
KUMBUKUMBU za waalimu wa sekondari nyingi, nianze na Mr Jiran, huyu alikuwa mwalimu Mhindi, aliyekuwa na tabia ya kikohozi na kutema mate hata katikati ya kipindi, alikuwa mwalimu mzuri sana […]
Maisha ya sekondari yalikuwa na mambo mengi. Masomo, michezo, sanaa na kadhalika. Wanafunzi nao walikuwa wa aina mbalimbali, wacheshi, serious guys na wanafunzi wasio na mwelekeo mimi nikiwa mfano mzuri. […]
Tulifanya mtihani wa darasa la saba tukaanza likizo ya kusubiri majibu. Siku moja wakati niko porini mlimani nyuma ya shule ya Lugalo kwenye mizunguko ya klutafuta matunda ya porini nikasikia […]
Moja ya burudani muhimu katika maisha yetu wanafunzi wa Aga Khan Primary miaka ya 66 na 67 ilikuwa ni kwenda sinema. Kulikuwa na kumbi mbili za sinema, Highland cinema na […]
Ungepita nyumbani kwetu kuanzia saa kumi mpaka saa kumi na mbili jioni mwaka 1967 mpaka 1969 ungekuta watoto Zaidi ya 20 wakicheza michezo mbalimbali kwenye uwanja wa nyumba yetu. Ungekuta […]
Nilizaliwa siku ya Jumamosi muda wa saa moja hivi, baba yangu alikuwa mwalimu Middle School Njombe, wakati huo alikuwa ba pikipiki moja kubwa aina ya BSA, huo ndio ulikuwa usafiri […]
Naomba nikiri simlaumu mtu, walinikanya wakanambia niachane na hawa watani zangu ‘wakunyumba’, nikabisha. Nikapata mrembo mzuri sana nikawataarifu ndugu kuwa nataka kumuoa, wakanikanya sikusikia sasa leo nimerudi na rafiki zangu […]