LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 23
Mwaka 1966 ada ya shule za serikali ilikuwa shilingi 10 kwa mwezi, inaweza kuonekana kichekesho kwa leo lakini fedha hii ilikuwa kubwa na kuna watu walishindwa kuendelea na masomo kwa […]
Mwaka 1966 ada ya shule za serikali ilikuwa shilingi 10 kwa mwezi, inaweza kuonekana kichekesho kwa leo lakini fedha hii ilikuwa kubwa na kuna watu walishindwa kuendelea na masomo kwa […]
Moja ya jambo lililokuwa likinipa shida sana ilikuwa kuamka asubuhi na kwenda kumnunulia sigara baba yangu. Baba alikuwa mvuta sigara karibu maisha yote niliyomfahamu. Kwenye miaka ya 60 na 61 […]
Hatimae nikaanza shule pale Aga Khan, kama ilivyokuwa Aga Khan Mbeya shule hii nayo ilikuwa English medium . Sare za shule zilikuwa tofauti na shule nyingine, kaptura ilikuwa rangi ya […]
Weekend hii nimeona nikusanye maoni mbalimbali niliyotumiwa na waliosoma vipande hivi vya historia ya Iringa. Kwanza natoa shukrani kubwa kwa waliocomment humu, walionipigia simu na walioniandikia kwenye message na whatsapp […]
Tukio la kisiasa la kwanza ninalolikumbuka ni shughuli za kuandaa mkutano aliohutubia Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika kwenye uwanja wa mpira wa shule ya Iringa Middle School, uwanja ambao kwa sasa […]
Nilipojiunga na shule ya Aga khan Mbeya nikakuta kitu kinaitwa Wolf Cubs, hii ni hatua ya chini kabla hujajiunga na kuwa Skauti. Pale shule ya Consolata kulikuwa na kundi zuri […]
KATI YA MWAKA 1966 NA 1973, Ungetembelea miji mingi mikubwa siku za Jumapili, ungekuta vijana waki enjoy kitu kilichokuwa kikiitwa Buggy. Buggy lilikuwa dansi la vijana lililokuwa likianza muda wasaa […]
Mwishoni mwa mwaka 1964 baba alipata kazi ya Sales manager katika kampuni ya mafuta ya CALTEX. Nyakati hizo kulikuwa na kampuni chache sana za kuingiza na kuuza mafuta nchini. Ilikuweko […]
Padre Giovanni Giorda (IMC) maarufu kwa jina la Padri Yolda amefariki leo mnamo saa 09:40 katika Kituo cha Afya cha Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, Wenda. Ni siku chache tu […]
Imani ya uchawi ni utamaduni ambao umekuweko katika jamii zote za binaadamu kwa maelfu ya miaka. Historia na maandiko ya dini mbalimbali yanatukumbusha hilo na kulilaani. Huwa inategemewa kuwa kadri […]