LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO 1
Baba yangu alikuwa akifundisha Iringa Middle School kati ya mwaka 1958 na 1962, shule hiyo iliyokuwa imejengwa eneo lililoitwa Mshindo hatimae ilikuja kuitwa Mshindo Primary school mwishoni mwa miaka ya […]