rhumba-tz.com

SANAA

  • JFK BAND
  • Daily Kiswahili Joke
  • Interviews
  • Iringa
  • Muziki Muziki
By rhumbatz on September 1, 2020 • ( 2 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 33

Shule ya St Mary’s Primary School ilikuwa shule maarufu hasa kwa watoto wa Kihesa na kuelekea upande wa Nduli. Na shule hii pia ndio ilikuwa chanzo cha shule ya sekondari […]

By rhumbatz on September 1, 2020 • ( 4 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 32

Kufikia mwaka 1970, Aga Khan Secondary School ilikuwa rasmi sasa inaitwa Lugalo Secondary School, kilikuwa kipindi cha mwamko mpya wa uzalendo na siasa ya Ujamaa ilikuwa ndio inaanza. Shuleni kulikuwa […]

By rhumbatz on August 31, 2020 • ( 2 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 30

Mwaka 1970 lilianzishwa gazeti la shule lililochapishwa palepale shule kwa kutumia mashine iliyoitwa Cyclostyle Machine. Kabla ya kuanza kuchapisha ililazimika utengeneze stensil ya kazi unayotaka kuchapisha, kisha kazi hii unaiweka […]

By rhumbatz on August 31, 2020 • ( 2 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 31

Maisha ya sekondari yalikuwa na mambo mengi. Masomo, michezo, sanaa na kadhalika. Wanafunzi nao walikuwa wa aina mbalimbali, wacheshi, serious guys na wanafunzi wasio na mwelekeo mimi nikiwa mfano mzuri. […]

By rhumbatz on August 30, 2020 • ( 4 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 29

Kutokana na kumbukumbu hizi kuna wachangiaji wawili wamejitokeza wa kwanza ni Engineer na Mwanasheria EDMUND MYAVA…Bwana Myava tulikuwa darasa moja pale Lugalo Secondary School. Tulizoea kumuita Umfundisi, kutokana na jina […]

By rhumbatz on August 29, 2020 • ( 2 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 28

Tulifanya mtihani wa darasa la saba tukaanza likizo ya kusubiri majibu. Siku moja wakati niko porini mlimani nyuma ya shule ya Lugalo kwenye mizunguko ya klutafuta matunda ya porini nikasikia […]

By rhumbatz on August 29, 2020 • ( Leave a comment )

SALIM DHARAMSI AFARIKI CANADA

Katika makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 20 niliandika kuhusu jirani yangu ambaye tulikuwa nae miaka hiyo 1966 na 1967, ambaye […]

By rhumbatz on August 29, 2020 • ( Leave a comment )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 27

Moja ya burudani muhimu katika maisha yetu wanafunzi wa Aga Khan Primary miaka ya 66 na 67 ilikuwa ni kwenda sinema. Kulikuwa na kumbi mbili za sinema, Highland cinema na […]

By rhumbatz on August 28, 2020 • ( 4 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 26

Ungepita nyumbani kwetu kuanzia saa kumi mpaka saa kumi na mbili jioni mwaka 1967 mpaka 1969 ungekuta watoto Zaidi ya 20 wakicheza michezo mbalimbali kwenye uwanja wa nyumba yetu. Ungekuta […]

By rhumbatz on August 27, 2020 • ( 6 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 25

Nilizaliwa siku ya Jumamosi muda wa saa moja hivi, baba yangu alikuwa mwalimu Middle School Njombe, wakati huo alikuwa ba pikipiki moja kubwa aina ya BSA, huo ndio ulikuwa usafiri […]

‹ Newer 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Older ›

WADAU

  • 20,267 hits

VIDEO ZETU

https://www.youtube.com/watch?v=mVhLujmTLQg

BURUDIKA HAPA

Follow Us

  • Facebook
  • X
  • Instagram
Blog at WordPress.com. |
rhumba-tz.com
Blog at WordPress.com.
  • Subscribe Subscribed
    • rhumba-tz.com
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • rhumba-tz.com
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...