LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 24
Katika mfumo wa elimu wakati wa ukoloni na miaka kadhaa baada ya Uhuru, mwanafunzi alianza na sub standard (supu), darasa hili siku hizi linaitwa Nursery au chekechea. Ukiwa supu, muda […]
Katika mfumo wa elimu wakati wa ukoloni na miaka kadhaa baada ya Uhuru, mwanafunzi alianza na sub standard (supu), darasa hili siku hizi linaitwa Nursery au chekechea. Ukiwa supu, muda […]
Naomba nikiri simlaumu mtu, walinikanya wakanambia niachane na hawa watani zangu ‘wakunyumba’, nikabisha. Nikapata mrembo mzuri sana nikawataarifu ndugu kuwa nataka kumuoa, wakanikanya sikusikia sasa leo nimerudi na rafiki zangu […]
Mwaka 1966 ada ya shule za serikali ilikuwa shilingi 10 kwa mwezi, inaweza kuonekana kichekesho kwa leo lakini fedha hii ilikuwa kubwa na kuna watu walishindwa kuendelea na masomo kwa […]
Moja ya jambo lililokuwa likinipa shida sana ilikuwa kuamka asubuhi na kwenda kumnunulia sigara baba yangu. Baba alikuwa mvuta sigara karibu maisha yote niliyomfahamu. Kwenye miaka ya 60 na 61 […]
Hatimae nikaanza shule pale Aga Khan, kama ilivyokuwa Aga Khan Mbeya shule hii nayo ilikuwa English medium . Sare za shule zilikuwa tofauti na shule nyingine, kaptura ilikuwa rangi ya […]
Mapema mwaka 1966 baba aliamua turudi tena Iringa. Alituambia amekwisha pata nyumba hivyo familia nzima tukajazana kwenye gari yake, wakati huu alikuwa na Renault Roho, tukafanya safari ya kurudi Iringa. […]
Weekend hii nimeona nikusanye maoni mbalimbali niliyotumiwa na waliosoma vipande hivi vya historia ya Iringa. Kwanza natoa shukrani kubwa kwa waliocomment humu, walionipigia simu na walioniandikia kwenye message na whatsapp […]
Jamaa karudi home na furaha kubwa;MUME: Aise nambie mke wangu, kama nikishinda bahati nasibu utafanyaje?MKE: Ntataka unigawie nusu halafu, ntadai talaka nisepeMUME: Basi una bahati leo, nimeshinda bahati nasibu shilingi […]