rhumba-tz.com

SANAA

  • JFK BAND
  • Daily Kiswahili Joke
  • Interviews
  • Iringa
  • Muziki Muziki
By rhumbatz on August 15, 2020 • ( Leave a comment )

HISTORIA FUPI YA DEKULA KAHANGA VUMBI

Vumbi Dekula Kahanga Orch. Maquis Original 1987 Wapiwapi Chang’ombe Bar,kutoka kulia ni: Mbuya Makonga “Adios”,Dekula Kahanga”Vumbi”,Mpoyo Kalenga na William Maselenge. Alie chuchumaa ni Juma Choka Kwa wapenzi wa muziki wa […]

By rhumbatz on August 15, 2020 • ( 1 Comment )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 19

Tukio la kisiasa la kwanza ninalolikumbuka ni shughuli za kuandaa mkutano aliohutubia Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika kwenye uwanja wa mpira wa shule ya Iringa Middle School, uwanja ambao kwa sasa […]

By rhumbatz on August 14, 2020 • ( Leave a comment )

PADRI YOLDA AZIKWA TOSAMAGANGA

Padre Giovanni Giorda (IMC) maarufu kwa jina la Padri Yolda amezikwa leo katika makaburi ya Tosamaganga. Padri Yolda alifia katika Kituo cha Afya cha Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, Wenda […]

By rhumbatz on August 13, 2020 • ( 1 Comment )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 18

Nilipojiunga na shule ya Aga khan Mbeya nikakuta kitu kinaitwa Wolf Cubs, hii ni hatua ya chini kabla hujajiunga na kuwa Skauti. Pale shule ya Consolata kulikuwa na kundi zuri […]

By rhumbatz on August 13, 2020 • ( 1 Comment )

UNAKUMBUKA ULIWAHI KUANDIKA NINI KWENYE AUTOGRAPH?

Utamaduni wa Autograph ulikuwa maarufu sana kwa vijana wa zamani,. Kwa bahati tuu niliweza kupata kurasa chache za Autograph za vijana wa Upanga sitayataja majina ya wahusika kwa sababu nyingi […]

By rhumbatz on August 13, 2020 • ( 1 Comment )

MNAO WAONA WAZEE NAO WALIKUWA VIJANA

KATI YA MWAKA 1966 NA 1973, Ungetembelea miji mingi mikubwa siku za Jumapili, ungekuta vijana waki enjoy kitu kilichokuwa kikiitwa Buggy. Buggy lilikuwa dansi la vijana lililokuwa likianza muda wasaa […]

By rhumbatz on August 13, 2020 • ( 3 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 17

Mwishoni mwa mwaka 1964 baba alipata kazi ya Sales manager katika kampuni ya mafuta ya CALTEX. Nyakati hizo kulikuwa na kampuni chache sana za kuingiza na kuuza mafuta nchini. Ilikuweko […]

By rhumbatz on August 12, 2020 • ( Leave a comment )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 16

Ukishuka chini toka mtaa wa Barabara Mbili unafika mtaa ambao barabara yake inatokea Kitanzini na kuelekea Mwembetogwa. Katika miaka ya 60 kwanza ilikuwa njia nyembamba sana ambayo ili kuvuka ililazimu […]

By rhumbatz on August 12, 2020 • ( 2 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 15

Leo nimepata faraja sana maana nimeanza kupata michango ya kumbukumbu kutoka kwa wazee wengine waliokuweko zama hizo. Kwanza nirudi Barabara Mbili, awali nilitaja majina ya wazee waliokuweko enzi hizo, nimekumbushwa […]

By rhumbatz on August 11, 2020 • ( Leave a comment )

BURIANI PADRI YORDA RIP

Padre Giovanni Giorda (IMC) maarufu kwa jina la Padri Yolda amefariki leo mnamo saa 09:40 katika Kituo cha Afya cha Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, Wenda. Ni siku chache tu […]

‹ Newer 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Older ›

WADAU

  • 20,267 hits

VIDEO ZETU

https://www.youtube.com/watch?v=mVhLujmTLQg

BURUDIKA HAPA

Follow Us

  • Facebook
  • X
  • Instagram
Blog at WordPress.com. |
rhumba-tz.com
Blog at WordPress.com.
  • Subscribe Subscribed
    • rhumba-tz.com
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • rhumba-tz.com
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...