rhumba-tz.com

SANAA

  • JFK BAND
  • Daily Kiswahili Joke
  • Interviews
  • Iringa
  • Muziki Muziki
By rhumbatz on August 3, 2020 • ( 2 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 6

Ukipita miji mingi siku hizi unaweza kudhani hakuna watoto. Jamii haiwekezi kwenye sehemu za watoto katika miji yao, utamaduni huu unabebwa na wazazi pia, mzazi anakuwa na kiwanja kikubwa na […]

By rhumbatz on August 2, 2020 • ( Leave a comment )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 5

Moja ya taasisi ya zamani katika mji wa Iringa ilikuwa shirika lililoitwa EAR&H. East African Railways and Harbour, aarufu kwa jina la Relwe. Shirika hili la usafiri la Afrika ya […]

By rhumbatz on July 31, 2020 • ( 1 Comment )

JE UMEROGWA? ZIJUE DALILI ZA WAZI

Je, umerogwa? Kuna  watu wengi wanatembea bila kujijua kama wamerogwa. Blog yako hii sasa imeamua kusaidia wananchi kama hawa ili wajijue kama maisha yao yameingiliwa na mkono wa mtu. Kutokana na […]

By rhumbatz on July 31, 2020 • ( Leave a comment )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 4

Mwishoni mwa mwaka 1962, nilihamia kwa babu yangu aliyekuwa anaishi Barabara Mbili Makorongoni, kisha mwanzoni mwa mwaka 1963 nikahamishwa shule kutoka shule ya serikali ya Goverment Lower Primary School (Mlandege) […]

By rhumbatz on July 30, 2020 • ( 4 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 3

LEO  nirudi nyuma tena mwaka 1961, mwaka ambao nchi yetu ilipata Uhuru, na ndio mwaka nilianza darasa la kwanza pale Government Primary School (Shule ya Msingi Mlandege). Hii ndio shule […]

By rhumbatz on July 29, 2020 • ( Leave a comment )

KILA NINACHOOTA KINAKUWA KWEEE, KINAKUWA KWELI

Jamaa yetu alikuwa mahakamani kashtakiwa kwa kosa la mauaji. Akaruhusiwa kuanza kujitetea;MANGI SAKARIA: Mheshimwa mi ninatatiso kubwa, kila nikiota ndoto inakuwa kwee.. inakuwa kweli. Niliota mke wangu kasaa mapacha kweli […]

By rhumbatz on July 29, 2020 • ( 1 Comment )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 2

Mwaka 1963 na 1964 ndio wakati nilipokuwa nasoma Consolata Primary School, shule iliyokuja kuitwa shule ya msingi Chem chem. Eneo lote ambalo siku hizi linaitwa Frelimo lilikuwa ni pori tu, […]

By rhumbatz on July 28, 2020 • ( Leave a comment )

DARASA LA MAPENZI YA KIBONGO SOMO LA KWANZA

Mapenzi ya Kibongo ni ya aina yake duniani, hivyo nimeona leo nitoe somo ili kuwasaidia mayanki namna ya kuishi kwa furaha katika mapenzi ya Kibongo. Kwanza mapenzi ya Kibongo hayashughuliki […]

By rhumbatz on July 28, 2020 • ( 8 Comments )

LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO 1

Baba yangu alikuwa akifundisha Iringa Middle School kati ya mwaka 1958 na 1962, shule hiyo iliyokuwa imejengwa eneo lililoitwa Mshindo hatimae ilikuja kuitwa Mshindo Primary school mwishoni mwa miaka ya […]

By rhumbatz on July 27, 2020 • ( Leave a comment )

Marehemu JAH KIMBUTE….kigogo muhimu katika muziki wa reggae Tanzania

‹ Newer 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Older ›

WADAU

  • 20,267 hits

VIDEO ZETU

https://www.youtube.com/watch?v=mVhLujmTLQg

BURUDIKA HAPA

Follow Us

  • Facebook
  • X
  • Instagram
Blog at WordPress.com. |
rhumba-tz.com
Blog at WordPress.com.
  • Subscribe Subscribed
    • rhumba-tz.com
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • rhumba-tz.com
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...