AISE MNAJUA MJINI KUNA MACHIZI WENGI?
YAANI hapa mjini ukipaangalia kwa makini unaweza ukajikuta unacheka peke yako barabarani watu wakadhani we chizi kumbe unakumbuka uchizi wa wakazi wa mjini. Yaani kuna vitu watu wanafanya havieleweki, wanajitengenezea […]