LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 9
Wazazi wangu walikuwa watu wa ‘dini’, wote wawili walikulia Tosamaganga na kusoma katika shule za misheni za hapo Tosamaganga. Baba aliwahi kusoma Mpwapwa kwa muda mfupi kwa kuwa babu yangu […]