Biashara Jazz Band


Mwaka 1977 July, Biashara Jazz band walitua Iringa ili kushiriki katika shamrashamra za Sabasaba Kitaifa zilizofanyika katika mji huo. Pichani ni wanamuziki wa Biasha Jazz Band, Toka kulia Ally Jamwaka 9Conga) siku hizi yuko Mlimani Park, katikati ni fundi mitambo wa bendi hiyo na mwisho ni aliyekuwa mpiga drum wa bendi hiyo marehemu Chamchu.

Categories: Music muziki

1 reply

Leave a comment