Hii Band tangu inaanzishwa na akina John Mhina wakiwa Sea view sisi upanga, mimi nilianza kupenda music na akina John Mhina wakiwa na Kapingas etc wakati huo nikijiita fundi Mitambo kwa vile nilikuwa natengeneza Amplifier kwa utundu wa utotoni na magita ya Umemee nikisaidiwa na Marehemu baba yangu Mzee NDERIMO R.I.P, kwa hivyo nakumbuka mike ya kwanza nilimwazima John Mhina hakuirudisha tena wakati huo wao wako Forodhani//Aga Khan Boys Primary school etc
Sisi tulianzniasha bendi yetu na kina CHOPETAS, likiitwa Rolling stones miaka ya 68/69 lakini wazazi walikuwa wakali na tukaambiwa tuachane naye kwa vile tusingeweza kusoma na kama unavyojua unaanza kuwa star sasa shule ingepita mbali,…….Aisee umenikumbusha mbali sana asante sana sana

LikeLike