Pichani kushoto Freddy Benjamin Hinjuson, mbele yake ni Patrick Balisdya, ilikuwa siku ya Jumamosi 1 Juni 1996, kwenye tamasha la muziki wa siku ya Mazingira duniani lililotayarishwa na CHAMUDATA katika viwanja vya Mnazi Mmoja
I remember Patrick Balisidya by Then with Afro 70 kwenye mashindano ya music pale Diamond Jubilee hall mimi nikiwa bado mdogo, jamaa music ilikuwa ipo wenye damu. Alikuwapo na dada mmoja wanaimba naye akiitwa LINDA, sijui alipotea wapi,…. na bendi nyingi wakati ule akma Safari Strippers, Commets, TONICS etc
Thanks for a good flash back

LikeLike
Alikuwa Msouth Africa
LikeLike