IMANI ZA UCHAWI KATIKA MUZIKI WA KISASA
Imani ya uchawi ni utamaduni ambao umekuweko katika jamii zote za binaadamu kwa maelfu ya miaka. Historia na maandiko ya dini mbalimbali yanatukumbusha hilo na kulilaani. Huwa inategemewa kuwa kadri […]
Imani ya uchawi ni utamaduni ambao umekuweko katika jamii zote za binaadamu kwa maelfu ya miaka. Historia na maandiko ya dini mbalimbali yanatukumbusha hilo na kulilaani. Huwa inategemewa kuwa kadri […]
Watoto wa Barabara Mbili tulikuwa tunafahamiana maana mtaa wenyewe haukuwa mrefu sana, pia tuliwafahamu wazee wa mtaa ule. Kati ya ninao wakumbuka walikuwa Mzee Kasingo, Mzee George Masasi, huyu alikuwa […]
Mjomba wangu Thadei alikuwa mdogo wa mwisho wa mama, baada ya mama kuolewa, mjomba wangu alianza kuishi na wazazi wangu, nimezaliwa na mpaka napata akili mjomba wangu alikuwa pembeni yangu. […]
Hawa ndio Sunburst bendi iliyofanya vizuri sana mwanzoni mwa miaka ya 70,mwaka 1973 ikashinda mashindano ya Bendi Bora Dar es Salaam na kuwa ya kwanza. Toka kushoto Toby John Ejuama […]
Siku moja niliuliza swali hili……Katika miaka ya 60 hadi katikati ya 70 kulikuwa na bendi nyingi za vijana ambazo unaweza kulinganisha na wanamuziki wa sasa wanaojulikana kama kizazi kipya. Katika […]
Jamaa karudi ghafla nyumbani si akasikia sauti za ajabu toka chumbani kwake, akapiga ukelele na kuvunja mlango akamkuta mkewe akitetemeka;Jamaa: We vipi?Mke: Presha imepanda mume wangu, jamaa akakimbia sebuleni ili […]
Nilikuwa na miaka minne nilipokwenda kuishi kwa bibi kwa muda. Wazazi wangu walikuwa wameenda Dar es Salaam kwa ajili ya likizo wakaenda na mdogo wetu Eva ambaye alikuwa na umri […]
Nyumba ambapo kilipo kilabu cha Barabara Mbili, ilikuwa nyumba ya babu yangu, aliijenga kati ya mwaka 1952 na 1954. Nina nakala za barua yake ya tarehe 31 Agosti mwaka 1953, […]
Bendi ya Urafiki (Urafiki Jazz Band), ilianzishwa mwaka 1970 na kiwanda cha nguo cha Urafiki kilichopo Ubungo. Jina rasmi la kiwanda lilikuwa ni FRIENDSHIP TEXTILE MILL. Kiwanda kilijengwa kwa msaada […]