LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 15
Leo nimepata faraja sana maana nimeanza kupata michango ya kumbukumbu kutoka kwa wazee wengine waliokuweko zama hizo. Kwanza nirudi Barabara Mbili, awali nilitaja majina ya wazee waliokuweko enzi hizo, nimekumbushwa […]