LEO NIMEKUMBUKA MJI WA IRINGA NILIPOKUWA MTOTO sehemu ya 14
Watoto wa Barabara Mbili tulikuwa tunafahamiana maana mtaa wenyewe haukuwa mrefu sana, pia tuliwafahamu wazee wa mtaa ule. Kati ya ninao wakumbuka walikuwa Mzee Kasingo, Mzee George Masasi, huyu alikuwa […]